Member of EVRS

Monday 19 April 2010

Life in Upcountry

Just before crossing the Lake Victoria

Another side of the lake
Nilishasahau kama haya mabasi ya kupakia mizigo juu ya gari bado yapo, kwani yalisha tajwa kuwa hatari iwapo mzigo mkubwa utawekwa juu ya gari, kwani hubadili uwiano wa kati ( Center of gravity) kwenda juu zaidi na hivyo gari likiyumba hasa kwenye makorongo au bonde linaweza kupinduka. Pia mzigo ukizidi sana uzito ambao basi linaweza kuubeba, unaweza kuwaangukia abiria vichwa vikapigwa pasi kama Tom & Jerry. Lakini bahati mbaya hivi haviwezi kurudi kawaida...


Beggars are every where

At Last... I met my auntie (photo above), now in her 80s, ndio ana zaidi ya miaka 80 kwa sasa.
No grey hair, and still with her sight, however now a bit reduced
Was the happiest moment for all of us. The last time I saw her was 17 years ago!!!!




4 comments:

Subi Nukta said...

Long live Bibiiiiii!
Bless her heart.

Anonymous said...

Kala chumvi lakini bado aonekana bado hajazeeka. Sisis watoto wa mikate tunazeeka haraka sana.
Shangazi udumu sana

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri shangazi!!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Anafanana na mamangu mzazi kabisa. Kizazi hiki kilikuwa na nguvu, afya na uchapakazi wa hali ya juu. Kama alivyosema Anony. hapo juu, sisi tuliokulia mikate na chips na mayai miaka 50 tu mifupa yote choka mbaya na magonjwa kibao. Maisha marefu mama!