Member of EVRS

Wednesday, 21 April 2010

Short of Words

Famously nicknamed by many people as The city cleaner

Nimekosa la kuandika, ninamkodolea macho tu huyu bwana usafi

7 comments:

Fadhy Mtanga said...

Wala hujakosa la kuandika ndo maana umeandika.
Picha nzuri kweli kweli.

Thom said...

Beautiful Pic. The rock, the bird, the flora!!

Abraham said...

The bottom photo is hard to imagine a rock so large.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Chib hujui tu wengine tumefrahia vipi maana hatujafika huko ni taswira nzuri sana. Ahsante na usikose kuweka picha nyingine nyingi ngingi ngingi!!!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

bila shaka hanyi

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

bila shaka hanyi

Anonymous said...

Picha safi sana, ila Kamala umenivunja mbavu, maana huo weupe kwenye jabali ni kinyesi cha ndege huyohuyo ha ha ha