Member of EVRS

Tuesday, 13 April 2010

I am Ready for Political Arena

Hellow, I extends my apologies for paying little attention in blogging. I was in the middle of the village enjoying my holiday.
My holiday coincided with last day for registering eligible voters for this year elections.
I took that opportunity to register myself, because I believe that good leadership and governance is always identified by the public.
Mshangao nilioupata ni pale waandikishaji walipoamua kufunga kituo cha kuandikisha wapiga kura mapema kabla ya muda uluotangazwa na tume ya uchaguzi.
Kwa sababu nilitoka nyumbani nimeshajiandaa nikijua waandikishaji wakati mwingine huleta za kikwao kutishia wananchi.
Maandalizi yangu ilikuwa ni kula pilipili kabisa kabla sijaenda kujiandikisha ili niwe tayari kwa kuwa mkali kama pilipili pale watakaponipandishia, sikuwa nataka mchezo.
Haina maana yoyote kupiga kelele kwamba mtu huyu hafai kabisa, wakati muda wa kwenda kupiga kura unapofika mtu hajiandikishi na hivyo kukosa haki yake ya kumchagua mtu anayemtaka.

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Karibu tena kaka naamini umekuwa na pasaka njema.

Anya said...

I wish you many L_U_C_K_ :))
You can do it ...

:)
:)

Candy1 said...

hahahaha...sikujua kama pilipili inachangia kwenye ukali...inabidi niache kuila hehehe!! Anyway I hope u had a great time bro n I think it is good example to other people who are so negative about voting...itabidi nikuweke kwenye billboard kuubwa hapa London maana na huu uchaguzi unaokuja, wanahamasisha vijana kupiga kura uchaguzi wa May...ila mie sijui namtaka nani...Brown and Cameron...mmmh...why can't it be both? take care bro

Anonymous said...

Kula tano pacha kwa kujiandikisha. Safi sana!
Halafu acha kutufunga kamba eti ulikula pilipili ili ukawawashie, thubutuuu, labda uwe umevaa mwili wa mtu mwingine lakini si wewe. teh teh.

John Mwaipopo said...

gombea kabisa. it's about time we take back our country.

chib said...

@Yasinta, ahsante
@ Anya, thanks, I want to exercise my rights Not as contestant but as a voter :-)
@ Candy and Wavuti-Subi, he hee, si unajua utamu wa lugha ni kuongeza nakshi
@ John, nimejiandaa kumchagua mtu ataye elekea kuleta maendeleo, uchaguzi ukikaribia, narudi Bongo

Faustine said...

...Umefanya jambo la busara.....Karibu tena ukumbini....

Upepo Mwanana said...

Sijui niseme una busara au...
Chagua mtu na sio sura au msukumo wa itikadi!!