imenikumbusha miaka ilee..nimefurahi picha zinaonyesha mji ni msafi na mandhari ni ya kuvutia haswa...mwanza ooh mwanza...maji bariidi na samaki watamu.
patamu sana hpo na ninapatamani ila usidanganyike kutembea kwa miguu maeneo hayo giza liingiapo, utapigwa nondo kichwani. ila patamu na wanaishi mabepari zaidi huko
7 comments:
A precious place!
Splendid!
Daktari; Lipi kati ya hayo mahekalu hayo milimani ni lako? Naweza kuja kukutembelea?
Nilisoma High School Sengerema na hizo feli tulipanda sana...Miaka inatimka sijaona kwani inaonekana kama vile ilikuwa jana tu.Umenikumbusha mbali!
imenikumbusha miaka ilee..nimefurahi picha zinaonyesha mji ni msafi na mandhari ni ya kuvutia haswa...mwanza ooh mwanza...maji bariidi na samaki watamu.
God bless me to step my feet and eyes in Mwanza!
patamu sana hpo na ninapatamani ila usidanganyike kutembea kwa miguu maeneo hayo giza liingiapo, utapigwa nondo kichwani. ila patamu na wanaishi mabepari zaidi huko
@ Kamala, yawaje sehemu ya mabepari ndo kuwe na nondo aka vibaka!
@ Masangu, majumba hayo nayamiliki kwa macho tu ila yana wenyewe
Post a Comment