Member of EVRS

Friday, 29 January 2010

Wanaume: Tunajali Sana! (Men: We Care a Lot!)


Yaani, basi tu.......
Have a nice Friday!!

6 comments:

Fadhy Mtanga said...

Mkuu nashukuru umenitengenezea siku kwa kuamka na kicheko.

Yasinta Ngonyani said...

:-) ijumaa njema nawe pia.

Faustine said...

..Duh! Hii ni kali!....Imenipa burudani tosha kabisa...

SIMON KITURURU said...

Duh:-)


Ijumaa njema kwako pia MKUU!

Anonymous said...

Mnajali kila upande mwishowe mnaharibu kote, I love this post:-)

Candy1 said...

mmh...hiyo "smol-hausi" naona inataka "big stuff" looool...this is so funny...poor babies