Member of EVRS

Thursday, 28 January 2010

Nigeria lost to Ghana in African cup Championship Tournament


Timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles imepata kipigo cha bao 1 - 0 kutoka kwa timu ya Ghana, Black Stars kwenye mchezo ambao Nigeria ilicheza vizuri zaidi kuliko Ghana.
Goli pekee la Ghana lilifungwa na Gyan kwa kichwa kufuatia mpira wa kona.

Lakini siku ya nyani kufa ..... Nigeria itabidi wajilaumu wenyewe, kama jinsi Zambia walivyojilaumu walipotolewa na Nigeria kwenye robo fainali.

No comments: