Member of EVRS

Thursday, 30 July 2009

Jumuiya Mpya ya Watanzania Mbioni Kuanzishwa

Nimepata habari hii kutoka kwa mdau mkuu wa blog.
Anapenda pia habari hii iweze kupeperushwa mahali popote panapofikika kwa wadau wote.

watakaopenda basi wawasiliane na wajumbe wa kamati ya maandalizi kama walivyo orodheshwa


Mkutano wa kuanzisha jumuia ya watanzania katika Jimbo la Gauteng

Watanzania waishio katika Jimbo la Gauteng (Johannesburg na Pretoria) wanatarajia kufanya mkutano wa kuanzisha jumuia yao tarehe 22 mwezi wa Agosti 2009 jijini Johannesburg. Mkutano huu utatoa fursa ya kujadili mambo mbali mbali yatakayohusu jumuia hii pamoja na kuchagua viongozi wa kudumu.Watanzania wanaoishi kwenye miji ya Johannesburg na Pretoria ambao wangependa kuwa wanachama na pia kushiriki kwenye uchaguzi wa uongozi wa jumuia wanakaribishwa kuwasiliana na wajumbe wafuatao kwa maelezo zaidi:

Brian Mshana b_mshana@yahoo.com
Laurean Rugambwa bwanakunu@gmail.com
Faustine Ndugulile drfaustinen@aol.com

Shukrani
KAMATI YA MAANDALIZI

Wawaeza kutembelea Baraza lake hapa

3 comments:

Faustine said...

Mkuu,
Nashukuru sana kwa msaada wako wa kutusambazia taarifa.
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/

jaz said...

hi chib...how are you? i haven't seen you around much since you returned from your trip!

Anonymous said...

Yes indeed, in some moments I can say that I approve of with you, but you may be in the light of other options.
to the article there is even now a question as you did in the fall publication of this request www.google.com/ie?as_q=jv16 powertools 2008 1.8.0.455 (multilang) ?
I noticed the utter you have in the offing not used. Or you profit by the dreary methods of helping of the resource. I take a week and do necheg