Member of EVRS

Thursday, 23 July 2009

My thought today - Wazo langu Leo
Does... God was unfair!!
He creates ... some ..to eat in order to live
And He creates others to live in order to eat!!!!.
Je ni kweli Mungu si muungwana!!!! Kaumba viumbe wengine wale ili waishi..... na wengine waishi ili wale.


5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mmmh hii ya leo ni kali!!!

SIMON KITURURU said...

DUH !

Fadhy Mtanga said...

Niungane na mtakatifu Simon kusema DUH!

Anonymous said...

Wanaoishi ili wale ni wanasiasa tu

Kissima said...

Kiumbe chochote ili kiishi ni lazima kile hivyo kula ni sehemu ya maisha.,huna uhai huliii.