Member of EVRS

Tuesday, 29 May 2012

Vurugu za Zanzibar!

Huu Mgogoro au vurugu za Zanzibar ni kweli unahusu kudai majadiliano ya muungano au una malengo tofauti?  
Sijaelewa kwa nini zinazoshambuliwa zaidi ni taasis za kidini!
  
Nawaza kwa maandishi tu.  
 
Nawatakia Jumanne njema

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hata mie nipo gizani...Jumanne njema kwako pia.