Member of EVRS

Monday, 7 May 2012

Ujumbe Mahsusi Kwa Rais .......

Wananchi wa Uganda wamechoka kupiga kelele kwa maneno.
Sasa wameamua kufanya kwa vitendo!

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hivi huyo mtoto anavua/loposha samaki hapa barabarani? au nahitaji miwani?

chib said...

Hapo anafikisha ujumbe ya kuwa barabara ni mbovu na hazifanyiwi matengenezo, ajira kwa vijana hakuna kwa hiyo anabuni mradi wa kufuga samaki katika mahandaki ya barabarani ili barabara zirudie katika hadhi ya kuongeza mapato ya taifa kwa ufugaji wa samaki badala ya kusafirisha bidhaa na wafanyabiashara kama ilivyokuwa hapo awali, hivyo kujenga ajira na kupunguza makali ya maisha kwa kuuza kitoweo kwa bei nafuu.
Huu ni mtazamo wangu tu

EDNA said...

Hahahaaa hii nimeipenda,huitaji ngumi wala mateke kufikisha ujumbe kwa mhusika.

John Mwaipopo said...

kweli pasi na maelezo kaka Chib na mimi nilikuwa nimepotea kabisa, yaani kwa kiswahili cha huku uswazi nilikuwa nimeingia chaka

siku njema kwako

Egidio Ndabagoye said...

Duh!