Member of EVRS

Saturday, 18 February 2012

Adimiko la Muda

Kijiwe hiki kimeamua ya kuwa kitakuwa kimya hapa na pale wakati wadau watakapokuwa wanahama hama ili kubadili mazingira na kuweka mambo vichwani sawa. 
  
Kitakuwa kinajitokeza pale muda utakaporuhusu.  
   
Kama kawaida tupo wote!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

pamoja daima tutakumiss? kila la kheri

Mija Shija Sayi said...

Mapumziko mema kaka.

Rachel siwa Isaac said...

Tupo hapahapa tunakusubiri,uwe na wakati mwema kaka.