Member of EVRS

Monday, 6 February 2012

Flashback of Day dated 11.11.11

Watoto 11 waliozaliwa kwa siku moja katika hopitali moja huko India. 
   
Kitu cha muhimu katika picha hii, ni kuwa wote walizaliwa tarehe 11 mwezi wa 11, mwaka elfu mbili na 11.
Kila mtoto alikuwa na mzazi wake, kwa hiyo kuna wakina mama 11 waliojifungua kwenye hospitali hiyo na kwa siku hiyo.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

niliposoma kwanza nilifikiri ni wa mama mmoja...11.11.11 kwa hiyo kuna watu kuma na moja ambao wanaweza kuwa marafiki safi sana

Upepo Mwanana said...

Duh, hata mimi nilifikiri ni wa Mama mmoja

EDNA said...

Duh! hii nimeipenda.

SIMON KITURURU said...

NAHISI Mtoto wangu ningehofia asije changanywa na wa mwingine hapo kama ningekuwa na tumbo la uzazi!