Member of EVRS

Tuesday 1 February 2011

What is the Meaning of This?!!!

Just imagine... this notice has been painted in the room where only adults use it... The bag for used clothes, is just there, and easily noticed, but ......
Does it mean, that people are irresponsible or they are uncivilised? 
  
Just look on this one below from another country.... The dustbin is just there, and rubbish are piled up just aside the dustbin ......
I got these two captions recently... I am still puzzled!

3 comments:

EDNA said...

Dr hiyo inaitwa sheria zimewekwa ili zivunjwe...Watu hawajali.
Hujawahi kuona Mtu anaona kibao kimeandikwa usikojoe hapa..Lakini anakojoa.

Simon Kitururu said...

Ndio maana ilichukua UONGOZI wa Singapore kuchukulia watu kisheria hata kwa kutema mate hovyo ili watu wabadilike katika hata mambo madogo.

Na nimewahi kukutana na mababu waliodai pamoja na viboko vya Mjerumani kudhalilisha watu ila vilichangia haraka sana kwa Wazee wa Kipare kutumia vyoo hasa wale waliotokea maeneo ambayo ilikuwa ni kawaida baada ya jando tu wanaume hawaonekani tena wakienda chooni kwa kusingizia wanaume hawaendi choo huku wanachimba mizizi ovyo vichakani.

Goodman Manyanya Phiri said...

Chib, Hodi tena!

Nimependa ukereketwa wako kuuliza. Lakini sidhani tunakwenda ndani ya kutosha juu ya hayo maswali. Napata picha kwamba wengi tumemchoka binadamu mwenzetu na tunaamini lake halipo na mkombozi hatapata mpaka mwisho wa dunia!


Kwa yangu maoni:

Jamii zetu zimejengwa chini ya misingi dhaifu na yenye aibu. Ndio maana sheria zake hazifwatwi na wananchi.


Unaambiwa na maandishi karibu ya dini zote duniani, hata ile dini ya ??Ukafiri?? [ATHEISM] ile inayoamini kuwa [Mungu hayupo]:


"[unapotoa sadaka au mchango, toa kwa moyo wako kabisa]".


Kama tunakubaliana huo ni ukweli, inakujaje jamii zinawaombea maskini eti "nguo zilizotumika"?


Chib wewe, nanyi wasomaji wake waheshimiwa, muliwahi kumwona wapi mtu hata mpumbavu wa namna gani kuweka chini kwenye mavumbi nguo yake mpya au ile anayeyipenda?


Mimi naelewa kabisa kwanini waweke chini hizo nguo:

ni ??viraka?? (RAGS)!


Kosa haliko kwa yule anayetupilia chini ??viraka?? bali liko kwa yule aliyeomba [nguo zisizotakiwa na wenyewe] kuwapa maskini! Aibu kweli, na huko mbinguni hatwendi kabisa namna hiyo kama kweli papo!!!

Ni bora tusitowe kabisa kuliko kama vile kuwakashfu maskini waMungu! Na hao ombaomba wa nguo, waache kutuomba nguo hizo msalani. Je, wanataka tukitoka huko tuwe wenyewe tumevaa nini?