Member of EVRS

Wednesday, 2 February 2011

Dar es Salaam, Tanzania

Leo nimekumbuka nyumbani!! 
 
Just enjoy a glimpse of Dar es Salaam City along the Zanzibar Ferry port, Tanzania

5 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kweli dsm ni kwenu?? si umekukana kwenu?? sema umeimiss dar na sio nyumbani,

mmmfh

emu-three said...

Mmmm kama umekukumbuka, sie inatuchosha maana joto, mchana hakutembeleki, usiku giza, umeme hakuna...wewe. mbu wanaimba utafikiri wapo katika mashindani ya `mbu star search...'

Goodman Manyanya Phiri said...

Dar kabisa!!!!
Dawa ya kulevya!!!
Kaa mbali utaiwaza!!!
Kaa huko makubwa!!!
Chib utakimbia weee!!!!

Trevor Woodford said...

Hi
Asante kwa kutembelea blog yangu - mimi nina furaha ni wa maslahi.
Wewe pia kuwa na blog kweli kuvutia na mimi alijiunga kama mfuasi.
Natumaini kuendelea kutembelea blog yangu purpletraveller.
Kuhusu

Trevor

SIMON KITURURU said...

Mkuu ! umenipandisha nyege ya DAR-es- SALAAM kweli!

Ila kwa bahati mbaya ni memsoma M# aongeleavyo DAR!,...
... hilo joto M3 Aliongeleavyo nafikiri afadhali niende tu KIREKA , Morogoro na niruke hiyo KITU MWANANA!:-(