Member of EVRS

Wednesday 24 November 2010

Baraza la Mawaziri na Naibu Mawaziri Novemba 2010

Ofisi ya Rais:
  • Utawala Bora - Mathias Chikawe
  • Mahusiano na Uratibu - Stephen Wassira
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia

Ofisi ya Makamu wa Rais
  • Muungano - Samia Suluhu
  • Mazingira - Dr. Terezya Luoga Hovisa
Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Sera, Uratibu na Bunge William Lukuvi
  • Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Nagu
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  George Mkuchika
            Naibu (TAMISEMI) - Aggrey Mwanri na Kassim Majaliwa

Wizara ya Fedha - Mustapha Mkulo
Naibu Gregory Teu na Pereira Ame Silima

Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi Shamsi Vuai Nahodha
Naibu - Balozi Khamis Suedi Kagasheki 
 
Wizara ya Katiba na Sheria - Celina Kombani
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa - Bernard Membe
Naibu Mahadhi Juma Mahadhi
 
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk Hussein Ali Mwinyi
 
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Dr. Mathayo David Mathayo
Naibu - Benedict Ole Nangoro
  
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia - Prof. Makame Mnyaa Mbarawa

 Naibu - Charles Kitwanga
 

  
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Prof. Anna Tibaijuka

 Naibu - Goodluck Ole Madeye
  
Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
  
Wizara ya Nishati na Madini - William Mganga Ngeleja
Naibu - Adam Kigoma Malima
  
Wizara ya Ujenzi - Dr. John Pombe Magufuli
 Naibu - Dr. Harrison Mwakyembe
   
Wizara ya Uchukuzi - Omari Nundu
 Naibu - Athumani Mfutakamba

  
Wizara ya Viwanda na Biashara - Dr. Cyril Chami
 Naibu - Lazaro Nyalandu
  
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dr. Shukuru Kawambwa
 Naibu - Philipo Mulugo
 

 
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dr. Haji Hussein Mpanda
 Naibu - Dr. Lucy Nkya
  
Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
 Naibu - Makongoro Mahanga
  
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
 Naibu - Umi Ali Mwalimu
  
Wizara ya Habari, Vijana na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
 Naibu - Dr. Fenella Mukangara
  
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Samuel John Sitta
 Naibu - Dr. Abdallah Juma Abdallah
  
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Prof. Jumanne Maghembe
 Naibu - Christopher Chiza
  
Wizara ya Maji  - Prof. Mark James Mwandosya

 Naibu - Eng. Gerson Lwinge

  
 
Habari kutoka Ikulu Mawasiliano

4 comments:

Fadhy Mtanga said...

kuna wengine hapo safi saaaana kama wizara ya ujenzi....ila hiyo inayohusika na mambo ya tanesco.....ya ya ya yaaaaaaa

Jumaa said...

Fadhy, ha ha haaa, naungana nawe kabisa

Simon Kitururu said...

Mmmh!

Nje ya topiki:
Neno la word verification nilioikuta hapa leo.. ni kasheshe.

chib said...

Mkuu Kitururu, neno hilo lipo wapi? Kama ni google translator ina vituko, unaweza kucheka mpaka mbavu zikauma