Member of EVRS

Wednesday 9 June 2010

Rwanda Kuanza kutumia Bangi katika Matibabu. (Rwanda to Use Marijuana for Treatment Purposes)

The Rwanda Ministry of Health has forwarded a bill to parliament that seeks to legalize the use of marijuana and other narcotics to be used strictly for medical purposes.

The minister, Dr. Richard Sezibera promised MPs that: “The medicine will thus be available and correctly utilised" as pain relievers, especially in treating the problems related to the behavioural problems.
Members of Parliament unanimously endorsed the bill without any objection

Huo ndio ukweli, Bangi imeidhinishwa kutumika kwa shughuli za matibabu hasa ya kutuliza maumivu kwa watu walioshindikana kitabia, na sio kwa ajili nyingine yeyote.

Hapa nawakumbuka ndugu zangu wa Iringa ambao hula bangi kama mboga ya majani ya kawaida, lakini sihusishi ulaji wa bangi hii na tabia ya kujinyonga..... :-(

Na pia nawakumbuka ndugu zetu wa Mara ambao ni maarufu kwa kulima bangi, ila sijui wao huwa wanaitumia kwa shughuli gani, ingawa na ukanda huo kwa kupenda kuuana kwa sababu za ki.#*.. :-((

5 comments:

Subi Nukta said...

Najua ulitaka kusema kwa sababu za 'kijinga' sivyo?
Hongera Serikali ya Rwanda kwa kuthubutu kufikiria hilo na kutaka kulitekeleza.

chib said...

@Subi, wewe ndio umesema :-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kwa hiyo subi ni mjinga??? najiuliza ndugu.

inassemakana miaka lukiku wagonjwa wa ku-operate walileweshwa wiski kama kuputi a.k.a ganzi na kufanyiwa upasuaji. kule kwetu bkb inasemekana bangi ilitumiwa kama dawa.

ila sasa ukijiuliza mambo haya kwa wanaoamini biblia inasemekana Mungu alisema yoote ni mema ila kwa ubunifu na udadisi wa adam na mke wake asiyekuwa wa ndoa (Eva) akatafuta na kujua upande mbaya

na hivyo, Bangi haitakuwa mbaya endapo hatutotafuta upande wake mbaya.

kama ilivyo kwa ngano kutengeneza vilevi badala ya kuliwa, ndivyo bangi pia hutumika kuwapoteza watumiaji.

itumieni vyema

Sitanii

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Nitafutie soko kaka

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Nitafutie soko kaka