Member of EVRS

Thursday, 17 June 2010

Somalia: Watching World cup means Death Penalty!

Watching 2010 FIFA world cup in Somalia means you are liable to death penalty!

Last saturday in Mogadishu, 2 people were killed while watching world cup. They were stormed by militants people and gunned down.

It is said extremist groups they think world cup will pre-occupy people's minds and they will fail to assist radical groups to overthrow the goverment, which after all is weak government.

read here

Hii ni ajabu kabisa kwa watu kuwa na msimamo wa namna hii, itakumbukwa miezi michache iliyopita, kundi la al-shabbaab lilipiga marufuku vituo vyote vya radio Mogadishu kupiga muziki wa aina yoyote katika matangazo yao, ilibidi baadhi ya vituo kuweka milio ya wanyama na risasi kabla ya kutangaza habari kama kionjo.

Sasa na kitendo cha kuua watu watakaoangalia kome la dunia 2010 ni ukatili kama sio kuchanganyikiwa.

2 comments:

EDNA said...

What`s wrong with these Somali people? huu ni ujinga uliopitiliza...

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mh, kuna udikiteta duniani.

au kwa sababu timu yao haipo na iliyoebnda kule imesulubiwa?? (ALgeria)