Member of EVRS

Friday, 25 June 2010

Furahia wikiendi na Ushindi wa Ghana


Nawatakia wikiendi njema na furaha tele kwa kuiombea Ghana ishinde mechi ya kesho dhidi ya Marekani katika uwanja wa Royal Bafokeng (Pichani juu).
Afrika hatuna chaguo lingione zaidi ya Ghana.
Nina imani tutatoka na kicheko he he heeee.

2 comments:

Mija Shija Sayi said...

Chib kaka yangu sala zako zimesikilizwa. Kama ulivyokuwa ukiamini wote tumetoka na kicheko.

chib said...

Naam dada yangu Mija, yaani mataya yananiuma kwa kicheko na furaha