Member of EVRS

Tuesday, 20 October 2009

Extended prunning!!


Last week I left my home in the morning for work... You know, I like gardens and trees, you can call me in any way, Nature conservator etc.
So... I left my growing garden like ... as you see above photo...
But, my gardener was too "clever", and he decided to "clean up" the environment...



And that is what I found in the evening... My gardener was busy "prunning" at this level!!
I dont know.... But.. I could not believe my eyes .... right after I enter the gate.



It will take some time before seeing my trees growing again.


Kama kawaida, onyo kali ni lazima utoe kwa ukataji wa miti wa namna hii.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Tuko wengi tupendao maua na bustani pia miti. Hapo nngekuwa mie ningeruka kichaa. Pole sana kaka Chib.

Faith S Hilary said...

Mmmh...hiyo sio prunning tena...sijui alikua anafikiria nini to be honest. The enviroment looks stunning by the way

Simon Kitururu said...

Halafu si ajabu kuwa alifanya hivyo kujaribu kukufurahisha!:-(


Nishasikia kuna aliyemuomba msaidizi wa kazi amsaidie kuosha mchele, BINTI wa watu kwa kutaka kumfurahisha mama mwenye nyumba wacha atumie sabuni ya mbunju kuuosha mchele!:-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

haya hutokea na katika ofisi moja mfanya usafi alichukua kitambaa, maji na sabuni akaiosha kompyuta na kuisuuuza mara kadhaa.... LOL

any way, fanya irrigation ya kutosha hakikisha maji yanatiririka na kumwagika 24/7

hiyio ndiyo hatari ya kkutokujifanyia kazi mwenyew kwa kupenda ubosi na kuwapa wengine. hukuwa na mikono weye? acha akufundishe kazi

Faustine said...

Tatizo hapa ni mtuma kazi na sio mtumwa kazi....Pole! Jifunze kilugha

chib said...

Msipindishe nyie, sikumuambia chochote kuhusu hiyo miti, naona alijaribu kuweka unadhifu anaoujua yeye akitegemea nitampa big up kwa kazi yake, kumbe duh.
Mtaa wa pili nimekuta nao wamekata miti kwa mtindo huo, sasa sijui ndo... au na bosi wa huko alifurika na sio kufura tena kama mie

Anonymous said...

Safi sana hutapata shida ya prunning hivi karibuni. Miti mirefu nayo huleta nyoka.