Member of EVRS

Wednesday 23 November 2011

Uhamasishaji wa Kujikinga na Ukimwi


Mipira 80,000 ya kinga ya kiume ikiwa imening'nizwa Paris ikiwa ni kuhamasisha kujikinga na janga la UKIMWI.

Picha kutoka TravelNews

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Sikugundua kama ilikuwa ni mipirahiyo...kila la kheri!!

Simon Kitururu said...

Papa Benedikti upoooo?