Member of EVRS

Sunday, 31 October 2010

Miss World 2010: Miss USA, First Runner: Miss Botswana, Second Runner: Miss Venezuela

Mashindano ya Mrembo wa Dunia yaliyofanyika jana Sanya, nchini China yamemalizika kwa Mrembo wa Marekani, Alexandra Mills kuibuka mshindi, na kufuatiwa na Mrembo wa Botswana, Emma Wareus na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Mrembo wa Venezuela, Adriana Vasini.  
  
Warembo wengine waliofanya vizuri katika mashindano hayo ni pamoja na Mrembo wa Kenya na wa Namibia  
   
Mrembo wa Tanzania alikwenda kushiriki katika mashindano hayo. Ila amepata cheti cha ushiriki kama walivyopata warembo wengine wote walioshiriki.  
    
Photo from missworld

1 comment:

EDNA said...

Umenichekesha uliposema "Mshiriki kutoka Tanzania amepata cheti cha ushiriki kama walivyopata washiriki wengine"...That was funny kwa kweli.