Member of EVRS

Wednesday, 6 October 2010

At times....Out of Network. Kumradhi Wakuu

I am on the cruise to nearly extreme north and then to the extreme west. Accessing inernet and other communications is frequently interrupted or prohibited. But, whenever I get time...

Nipo kwenye harakati za safari, kwa muda nitakuwa kwenye mazingira ya kuzima simu, ati jamaa wanadai wakati wanaendesha vyombo vyao au ungo wa kizungu, hawataki abiria wawe wanawasiliana kwa simu.
Wanadai kelele za simu zinaingilia mitambo yao.

Nikiweka kituo mahali popote, nikaweza kuwasiliana nanyi marafiki zangu, nitakuwa nikikohoa.
Kwa sasa nasikiliza hotuba ya Odinga!!

5 comments:

Subi said...

Kama ungo wa Afrika ulivyo na masharti ya mganga, vile vile ungo wa Kizungu una masharti toka kwa mganga wake, ndiyo hayo.

Safiri salama e-Chib!

Yasinta Ngonyani said...

Kweli kabisa kila sehemu kuna masharti yake. Safiri njema. Tunasubiri zawadi..LOL

SIMON KITURURU said...

Safari njema!

Candy1 said...

No internet, that's extremely bad! Hahaha, have a safe journey bro! x

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

duh sijui nani kaka penmeni mwako. harafu uanche umbeya, lala utajikuta mwisho wa safari usije ukasababisha pancha