Member of EVRS

Friday 4 June 2010

Enjoy your Weekend

I just want to wish you all of you a nice weekend.

I am gathering energy to cheer Taifa Stars during their return match with Amavubi Stars for the CHAN qualification.

The match will be held here in Kigali, Rwanda on Sunday 6th June 2010.

Every one is talking about this match here....

Cheers

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nawe pia uwe na mwisho wa juma mzuri:-)

Mija Shija Sayi said...

Twawatakia kila la heri taifa star.

Chib naomba ushauri. Nataka kuacha miwani na badala yake nitumie contact lens, je kuna madhara gani? maana nilishawahi kwenda ccbrt nikaambiwa si nzuri kwa vumbi.

EDNA said...

Weekend njema kwako pia.

John Mwaipopo said...

at least there are some nincompoops in rwanda talking about Taifa stars tie with Amavubi. down here we the geniuses are busy talking about the Taifa Stars-Brazil exhorbitand friendly.

me i was thinking the CHAN tie should be the song of us all. i have predicted in my blog that we have have lost the kigali tie 80%. here we are talking about hiring best witchdoctors to help Stars outshine Brazil. if that happens in soccer why not deploy the same witchies to win the kigali tie?

alafu mzungu mmoja akisema waafrika hatuna akili tunatoa meno nngriiiiiiiii

this country bwana!!!

gud day sir

chib said...

Ahsanteni sana wadau kwa kunitembelea.

@ Mija... Unaweza kutumia contact lens iwapo utazitumia kikamilifu na kufuata masharti yake, kama kuziondoa kila unapotaka kulala, pia kuziweka kwenye dawa maalumu ili zisikombe wadudu wakakuletea mushkeri kwenye jicho

Vumbi husababisha mzio (allergy) kwa baadhi ya watu, pia contact lens inahusishwa sana na kuleta mzio wa macho, na ndio maana watu wanakuwa makini kabla ya kutoa ruksa ya kutumia contact lens.
Pia unapaswa kuzingatia ushauri wa wanaotengeneza contact lens, wakiandika ni wiki 2 tu (expire date), basi huna budi kufuata na kuzitupa unazozitumia, na pia unapaswa kuongeza bajeti kidogo, maana zinauzwa bei kubwa kidogo, na zinahitaji kubadilishwa kwa vipindi mbalimbali.
Heeee, hapa hapatoshi.

Mija Shija Sayi said...

Asante sana kaka Chib kwa maelezo. Naona nitabaki na miwani yangu isiwe tabu. Ila swali lingine mtu unatakiwa kubadili miwani kila baada ya muda gani?

Stay blessed.

chib said...

@ Mija, nimekujibu kupitia blog yako