Member of EVRS

Monday, 17 May 2010

Tanesco: Life is not Cheap!


The word "Life" to Tanesco doesnt means that is a cheap stuff, but rather ... worthless.
These cables have been like this for many months.
Cha kushangaza ni kuwa zina umeme, jamaa wakipita mitaa hiyo, wanasisitiza watu wakate miti karibu na nyaya, lakini wao kurekebisha hili tatizo......
These creatures working at Tanzania No Electricity and Services Company... are the deadly crooks!!

6 comments:

Fadhy Mtanga said...

Kaka Chib hiyo tafsiri ya Tanesco imeniacha hoi vibaya mno. Ha ha haaaaaa....naomba kuibeba hadi kijiweni FB.
Bila shaka umewasili salama. Tunashukuru sana kwa kuwa nasi.

Upepo Mwanana said...

Tanesco wana maudhi sana. Wanabebwa kwa kupewa ruzuku, bei yao kubwa lakini hawana hata ufanisi, yaani hata chembe .Bure kabisa.
Nimevutiwa na kirefu cha Tanesco, naungana na Fadhy he heeee

Yasinta Ngonyani said...

kazi kweli kweli kwa nini wasiamua moja. kwa kweli ni maudhi haswaaa.

Egidio Ndabagoye said...

Unajua kuna mambo yanafanyika Bongoland unaona kama njozi vile au sinema,lakini ndio ukweli wenyewe na wananchi wanadai eti ni kawaida.

Wanaumizwa kila kukicha mwisho wa siku wanapewa pilau na Tshirt za kijani na manjano wanakenua meno "maisha bora kwa kila Mtanzania" WTF!

chib said...

@ Egidio: :-) :-) :-)

Mzee wa Changamoto said...

Ni vitu vingi vyaweza kukufanya ukapata tafsiri ya KILICHO KICHWANI MWA WAHUSIKA.
Hawa wendawazimu wanakuja kuchukua (tena niseme kubambikiza) bill watu huku.
NGOJA
Utasemaje ukiambiwa kwenye hiyo nyumba kuna mfanyakazi wa Tanesco kapangisha?
Kuibadili jamii yetu tunastahili kuansia mbaali sana.
Na pia utakuja sikia ati hawa watu wamejenga kusikotakiwa ndio maana hawapati service, japo SHIRIKA HILI LA SERIKALI limewawekea Umeme na linakusanya pesa (ambazo hatujui kama zaenda zitakiwako)
Bandio yangu macho