Member of EVRS

Sunday, 9 May 2010

Simba yapoteza Mechi Misri 5 - 1

Timu ya mpira wa Miguu ya Simba, ambayo ndio mabingwa wapya wa ligi kuu ya Tanzania Bara, kwa mara ya kwanza wikendi hii imeonja machungu...... baada ya muda mrefu wa kucheza mechi za ndani na za kimataifa bila kufungwa, wikendi ihii meweza kufungwa kwa idadi kubwa ya magoli kwa jumla ya 5 - 1 na Hodoud ya Misri kwenye michezo ya kuwania kombe la shirikisho barani Afrika.

Kipigo hiki kimeifanya itolewe kwenye mashindano hayo kwa jumla ya mabao 6 - 3, kwani Simba ilipata ushindi wa mabao 2 - 1 wakati wa mechi ya mkondo wa kwanza iliyochezwa Dar es salaam majuma mawili yaliyopita.

Hii ni mara ya kwanza kwa simba kufungwa mabao mengi kiasi hiki kwa mechi za kimataifa nchini Misri, kwani Simba imekuwa na rekodi nzuri kuliko Yanga kwenye mechi na timu za Misri.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

poleni sana wanasimba na pia wapenzi wote wa mpira.

Anya said...

Hi chib
Have a relaxing sunday
Enjoy ......
(@^.^@)

Fadhy Mtanga said...

...hiyo kauli ya kusema Simba ina rekodi nzuri kuliko Yanga imetosha kunipoza machungu yangu....

Anonymous said...

Hello. Often the Internet can see links like [url=http://www.whitehutchinson.com/aboutus/]Buy cialis without prescription[/url] or [url=http://www.rc.umd.edu/bibliographies/]Buy cialis without prescription[/url]. Is it safe to buy in pharmacies such goods?