Member of EVRS

Saturday, 22 May 2010

Tangazo la Leo!

Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda(Pichani) inawakaribisha watanzania wote wanaotaka kufanya biashara Rwanda.

Wanatoa ushauri wa bure kwa wanaotaka kufahamu zaidi sehemu za kuwekeza au kufanya biashara hasa kwa bidhaa zinazotoka Tanzania.

Waweza kuipata ofisi hii kwa Simu namba +250 252505400

Wish you a nice Saturday!

5 comments:

Fadhy Mtanga said...

Hiyo ni nafasi nzuri sana kwa Watanzania kupanua wigo wa biashara.

Shabani Kaluse said...

Kaka Chib, Vipi vibiashara vya mama ntilie huko vina soko?
Nataka kuanzisha kijibiashara changu cha kuuza mitori, nyama choma kama kule kwetu Arusha.

Naomba ufafanuzi zaidi kama kunalipa nitie timu...LOL

Yasinta Ngonyani said...

Asante kwa taarifa!!

nyahbingi worrior. said...

amani kaka.

chib said...

@ Kaluse, nyama choma zipo japo si nyingi kama huko kwetu. Ukitaka watu wa maana waje kwako, inabidi uwe na kamtaji ka kutosha ha ha haaa, karibu sana