Member of EVRS

Sunday, 30 May 2010

Kukosa Haki ya Msingi Kwenye Blogu

Ugonjwa wa blogu ya Mwananchi Mimi umehamia kwangu leo!!!!

Nimekwama kutoa mawazo yangu (my comments) kwenye blogu zote nilizotembelea, hata kujibu maswali yenu.... Nimenuna huyo :-(

Hakika nimekosa haki yangu ya msingi ya kuachia ujumbe wangu kwenu wasomaji
Natumaini punde itakuwa shwari.

Nawatakia jumapili njema, japo nimechelewa kidogo kwenu ninyi mnaoishi karibu na greenwich meridian.

5 comments:

Subi said...

Pole sana Chib, na wengineo. Nimejaribu kutafuta suluhisho la tatizo hili, na kukumbana na malalamiko ya wengi toka pembe za dunia kuhusu hili. Pengine blogger/blogspot watashugulikia punde. Unaweza kufuatilia kupitia support from blogger forum kuona ikiwa mtu amepata suluhuhisho.

chib said...

Thanks Subi, naona tatizo limeisha au limehama kwa muda :-)

Faustine said...

Poleni wadau. Mie mbona napeta kama kawaida.....Umepata tatizo kama hilo kwenye Baraza yangu?

Yasinta Ngonyani said...

ndo maana nikawa najiuliza kaka Chib yupo wapi? pole sana.:-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

pole na hongera kwa kuepuka kuweka comments za maana na pumba. ila hii inatufundisha mengi katikamaisha. unasafiri unajiandaa kurudi usafiri unagoma au unacheleweshwa sehemu, harafu siku unafika, wife anaaza periods kwa hiyo hutonufaika mpaka siku kadhaa, siku ya mwisho kumalizia periods, unapata safari tena ya wiki, utafanyaje mkuu,

ndo kupost