Member of EVRS

Tuesday 18 May 2010

Always: Take a Closer Look

Watu tumezoea kuchukulia kitu au kuangalia kitu kijuujuu tu, na wala hatuchukui muda kuchunguza kwa ukaribu. Tunafikia kutoa maamuzi bila kuangalia kwa undani!!
Je, ulishawahi kutafakari kile ukionacho na kujua ya kuwa muonekano wake hautoshi bila kukichunguza na kujua kimebeba taswira gani


Kuvamia kitu kijuu juu tu kunaweza kukufanya uingie matatani.
Joto ya jiwe......... aijuaye......
Siku njema :-(

6 comments:

Cris said...

Precious place! Lovely animal ;)

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli mara nyingi hatuchunguzi kwa undani. nikiangalia naona ramani ya Afrika na pia mjusi anaota jua:-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

amelikalia na kulipumulia via southern...

Simon Kitururu said...

Nilitaka kusema jiwe limekaa kama shato za NASA zipelekazo wanaanga kwenye space station ila rafiki yangu yeye anaona linasura ya utupu wa kiumbe chanaume.

Lakini KUNAUWEZEKANO mtu ukichunguza kwa karibu sana vitu vingi uvipendavyo unaweza kustukia unavipenda VITU VINGI kwa mbali.:-(

John Mwaipopo said...

hilo nalo neno.

Christian Bwaya said...

Falsafa nzito...