End of former Libyan leader, Mouammar Gadhafi was typically horrible!
The mob justice, that was the ultimate judgement for him which led to his death.
He was murdered brutally, beaten with anything available and anywhere where the kick manage to reach him. He was dragged and soaked on his own blood.
He was shot too, in the head and had some bone shattered. He suffered multiple visceral ruptures from the kicks around his abdomen.
He was undressed without being unbuttoned, his clothes which were already soaked with his blood were simply ripped of into pieces. He was stripped off too and people made fun of his corpse by taking videos and make photo with the laid down Gadhafi's corpse.
He died in severe pain and agony as the mob hit him hard helplessly. He actually witness every stage of his death while suffering from severe pain from kicks, fists, iron bars, dragging on the rough ground and so on.
It was really a brutal and shocking death
Friday, 21 October 2011
Thursday, 20 October 2011
Habari Tata: Gadhafi Kakamatwa / Kauawa?
Kuna taarifa zisizo rasmi zinazodai ya kuwa aliyekuwa Kiongozi wa Libya kwa muda mrefu, Mwanamapinduzi Kanali mstaafu Moammar Gadhafi ameuawa baada ya kujeruhiwa miguu yote miwili katika shambulio la anga la NATO lililolenga msafara wa Gadhafi alipokuwa anatoroka mji wa Sirte.
Inadaiwa ya kuwa chanzo cha kifo cha Gadhafi ni majeraha aliyoyapata kwenye miguu yake.
Kuna madai mengine yanayosema ya kuwa aliyekuwa kiongozi wa mashambulizi ya Majeshi tiifu kwa Gadhafi, Abu Bakr Younus Jabr naye ameuawa katika shambulio hilo.
Wakati huo huo, wasemaji wa jeshi la waasi wa Libya, wanadai ya kuwa wamemkamata Gadhafi akiwa hai katika mji wa Sirte, na kuwa alikuwa amejificha katika shimo na aliomba asipigwe risasi! Kuna muasi mmoja anadai alishuhudia kukamatwa kwa Gadhafi.
Hata hivyo, habari hizi bado alijathibitishwa na kujua ukweli upo wapi.

Wednesday, 19 October 2011
CCM: Chama Rasmi cha Upinzani Wa ....
Mambo ya siasa :-((
Kusema ukweli huwa ni porojo na kuteka saikolojia ya hadhira ambayo mtu anaamua kujinadi mbele yao ili iweze kumpa rungu la kuwachunga au kuwaongoza.
Najaribu kukumbuka pale ambapo "Chama Chetu Maarufu" kilipoweka hadharani nia kubwa ya kujisafisha kwa kuondoa vishubaka vya kufichia waovu ili kionekane safi tena kama kilivyokuwa enzi za Baba wa Taifa.
Kikajipa miezi mitatu kuamua hatma ya wale wevi na wenye tuhuma nzito kujitoa taratibu kwa heshima na staha, vinginevyo cha moto wangekiona.
Sina hakika hicho "Chama Chetu Maarufu" kinahesabuje siku kwenye mwezi mmoja, maana kwa kalenda yetu ... tunafikiri tumeshapiga kona mbili au zaidi za hiyo miezi mitatu.
Kila mara tunasikia wimbo wa hiki "Chama Chetu Maarufu" ya kuwa hakiwezi kuendelea kukaa na watuhumiwa, ni lazima kiwakoroge na kuwamwaga, hata jana kwenye jukwaa la kisiasa, kupitia msemaji wake kilisema hadithi ile ile, ya kuwa ni lazima kitawaondoa, na ati hao ma-bazazi, wanatumia fedha nyingi sana kuhakikisha wanakikandamiza Chama Chao na kuhakikisha kinaingia kwenye kambi rasmi ya upinzani!
Nahisi huu wimbo wa kukisafisha Chama hiki, karibu utatoa vimelea sugu vya kutokusikilizwa tena, kwani hata dawa ukiitumia tu bila mpangilio kwa muda mrefu na mara kwa mara, basi vimelea huizoea na kugeuka sugu na kuendelea kuishi na kuzaana tena kwa kasi kubwa.
Tunangoja siku moja hapo hali ya kushangilia itakapobadilika na kuwa ya kuzomea, halafu sijui wasemaji nao watakuwa wameshaota usugu, na kutafsitri kuzomea huko ni kama vile kushangilia.
Basi na tuiangalie hii bendera hapo juu inavyopepea, kama ipo sawa au ni kinyume. Tuache kuangalia kama ina vitu vyote vinavyotakiwa, bali tuangalie kama kweli inasonga mbele, na imekaa sawa. Kutokea hapo, tunaweza kuamua kama tumeridhika na tunataka kuendeshwa kama bendera ilivyo au tutataka kuiweka sawa na kuendelea na kitu kilicho sahihi. Bila kusahau, tunaweza kuangalia hata na jirani yetu, ... je, naye bendera yake ipo sawa, na tunakubaliana na alivyoiweka, na je tunaweza kumuunga mkono akatuelekeza kule tunapotaka kwenda?
Tumefika wakati wa kuchagua chombo kitakachotupeleka kule tunapotaka kufika (na sio kwenda) tukiwa na imani kweli kitatufikisha, na tuachane na dhana ya kumchagua nani wa kutufikisha bila kuangalia hata uwezo wake, mabadiliko yake yenye tija, uzoefu na historia yake katika safari yetu hii ya maendeleo.
Nimeibuka tu toka usingizini nikajikuta naadika yote haya, ngoja nikapate kikombe cha kahawa nitafakari zaidi....

Monday, 17 October 2011
Wednesday, 12 October 2011
Saturday, 24 September 2011
Chombo cha Utafiti wa Anga cha NASA Hakijulikani Kimeangukia Wapi
![]() |
mchoro wa kuigiza wa chombo kinapolipuka moto mara kiingiapo katika anga ya Duni |
Awali walitegemea kingeanguka katika bahari ya Pacific, lakini katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa, kilipoingia kwenye anga ya dunia (Earth atmosphere) kilionekana kama kimepunguza kasi ya kuanguka, hivyo badala ya kutarajiwa kuanguka siku ya ijumaa, NASA ilikadiria kitaanguka jumamosi usiku au jumapili alfajiri.
Chombo hicho chenye ukubwa kama wa basi kubwa, na kinachokadiriwa kuwa na uzito wa tani 6, mpaka sasa hakijulikani kilipo, na wala hakuna mtu aliyekwisha kutoa taarifa kama wameona mabaki yake. Na kwa kuwa mpaka sasa hivi NASA haijapokea taarifa yoyote ya majeruhi au madhara ya aina yoyote, wanaamini chombo hiki kimeanguka baharini, lakini hawajui ni sehemu gani.
Bado wantafuta habari ya wapi mabaki ya chombo hiki yataonekana ili wawe na uhakika ya kuwa ni kweli kimekwisha anguka kwenye uso wa dunia.
Pata habari zaidi hapa
Friday, 23 September 2011
Chama cha Upinzani Chashinda Uchaguzi Mkuu wa Zambia
Chama cha Upinzani nchini Zambia, Patritic Front kimefanikiwa kupata ushindi wa urais pale bwana Michael Chilufya Sata (Miaka 73) alipotangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo.
Ukiwa ni msimu wake wa nne kwa bwana Sata kugombea nafasi hiyo, safari hii amefanikiwa kumshinda bwana Rupiah Banda, ambaye ndiye alikuwa anashikilia wadhifa huo.
Uchaguzi huu kwa mara ya kwanza ulileta tafrani ambayo ilisababisha Tanzania, ambao ni nchi jirani na Zambia kwa upande wa kaskazini, kufunga mpaka wake na Zambia kuepusha wimbi la wakimbizi na waleta fujo kuingia Tanzania bila mpangilio.
Sata amepata jumla ya 43% ya kura zote halali zilizopigwa, akifuatiwa na Bwana Banda aliyepata 36% ya kura zote halali zilizopigwa.
Ninahisi ya kuwa uchaguzi huu wa Zambia utakuwa umetoa funzo fulani kwa siasa za kiafrika na hasa nyumbani kwetu Tz na nchi nyingine kama Zimbabwe na Uganda.

Wednesday, 21 September 2011
Life is Full of Challenges! Python Hunting
How can you get hold of python without causing harm to it and yourself!
Follow very few and courageous steps like these gentlemen!
Aye, also you avoid to go to hospital for unnecessary anti-tetanus vaccinations.
Somebody waiting should have very good ears and strong to pull you when the time is due to do so...
But, of course will make you see better...
Be alerted, very sharp and each hand ready for action...
Hurrraaaaah!..... Then shout to be pulled out
Proud python catcher
They consider very well animal rights!! Where are they heading to? May be to a zoo, or return it to the thick forest to protect their domestic animals which are favourite meal for the "stranger" or to sell it to mafisadi!!
I wish I could have known the source of this....., but thanks Mdau for reviving photos.
Subscribe to:
Posts (Atom)