Member of EVRS

Wednesday, 12 October 2011

Enjoy!

Photo from Cake recipes

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

yam yam yam ..ingawa sili cake lakini hii ntakula: naona umefanya mabadiliko hapa safi....

Anya said...

Yummyyyyyyyyy...... :-)
I like that very much !!!!

hugs from us

Anya said...

Ooopppsssssss...
wrong account :P

SIMON KITURURU said...

Hii kitu hiii kitu hiii kitu! Wee acha tu! Hivi sijui ukikutwa nayo mitaa fulani ya hata sio Somalia ni nini kinawezatokea lakini!

Hivi Afrika keki zetu si ni viazi vitamu? AU?

Nawaza tu kwa sauti!

Yasinta Ngonyani said...

Aha! sasa nakumbuka kwa nini umeandaliwa keki na hakutaka kuwa mchoyo..NAONA SIJACHELEWA HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA KAKA CHIB:-)

emu-three said...

Happy birthday

Yasinta Ngonyani said...

kaka Chib upo wapi bado unasheherekea tu????

Amin said...

BEAUTIFUL!

Upepo Mwanana said...

Hongera!