Member of EVRS

Monday, 12 December 2011

Ndio Matokeo ya Kuhukumiwa Kabla Hujatenda Kosa ...


Ikionekana huna kosa.... naye alikuwa ana imani ya kuwa lazima utakuwa na kosa.... Basi chunga sana kufuga Osama!

3 comments:

Swahili na Waswahili said...

Hahahhhha hii kali kaka!

Yasinta Ngonyani said...

Duh! kaaazi kwelikweli..hakika hii kali kweli

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

shauri yenu mnaopenda kurefusha mav***z* wataanzan kukagua pia mwakani