I was just a very clear sky.. at around 9.25PM Rwandan town, she shadow over trhe moon started at the bottom of the moon..
30 minutes later it picked further...
then after 40 minutes, just a quarter of the moon remained
After one hour, ghosh. nothing remained out!
Well, it was just wonderful to see this......
8 comments:
Umepata bahati hii HONGERA SANA kwani haitokei ovyo ovyo nadhani nililala ...
hongera sana kaka Chib...nami niliona nikafurahi sana
Hongereni jamaani kwa moyo wa vitu kama hivyo. Mvivu mimi hata wakisema mwezi umedondokea bustani kwangu, siamki wala sitoki nje kwenda kuangalia. Naona (kwangu lakini bila kuwanyanyasa wapendao)kama ni utoto shamrashamra hizo.
Sasa naomba mnisaidie mtandaoni hapa: kichwa changu kibovu au wapo wengine duniani ya Mungu sawasawa nami.. yaani wale wenye kusikia labda "leo jua litazimika mchana, ECLIPSE OF THE SUN" lakini hawana habari tena wako poa tu kama kawa?
@ Manyanya, Mimi ni mpenzi wa kujua habari na matukio hasa ya kisayansi. Hata ukiniambia ya kuwa kuna kimondo kitaanguka sehemu fulani, na kwa hali ya usalama nikae mita kadhaa kushuhudia, basi utanikuta, kwa tukio la mwezi hapa ilikuwa mapema, saa 2.30 usiku, nilikaa hadi ulipomezwa wote nikiwa na kikombe changu cha kahawa nje nikikodoa macho. Familia yangu tulio mbali kwa kms kadhaa, nao walikuwa nje wakishuhudia hadi mwisho
Safi sana, aiseee! Ila mimi utanifanya nami nipende mambo kama hayo kutokana na kile kikombe chako cha kahawa. Nami nataka!
Hi Chib,
Great photos, sadly we saw nothing here in Amsterdam.
Love,
Herrad
@ Herrad, I hope you did not the summer time!
Well done Chib for sharing with us this great look of lunar eclipse from Rwanda.
Post a Comment