Member of EVRS

Tuesday, 21 June 2011

Malimwengu ... This is the World!

Imetolewa kwa mmiliki wa wavuti hii

4 comments:

Swahili na Waswahili said...

Ndiyo Dunia ya leo kaka, kila mtu anataka ajaribu basi nao wanyama hawako nyuma!!!

Teuvo Vehkalahti said...

crazy monkey. Greetings from Finland. This, through a blog is a great get to know other countries and their people, nature and culture. Come take a look Teuvo images and blog to tell all your friends that your country flag will stand up to my collection of flag higher. Sincerely, Teuvo Vehkalahti Finland

SIMON KITURURU said...

Kama imefikia huku basi sasa hivi Nyani wataanza kujenga nyumba , kusoma vitabu bila kusahau kuwa wataanza kuvaa pete ili kuashiria wameoana!

Lakini tukiachana na utani:
Hivi Binadamu hata wenye suti wapiganao risasi bila sababu za maana hao sio kinamna ni NYANI?

emu-three said...

Hebuu fikiria nyani kama hwo waamue kuwavamia wanadamu na bunduki mkononi...mbona mambo,...kwanza utaanza kumuogoa kama nyani, sasa ana ziada , bunduki mkononi...!