Member of EVRS

Saturday, 11 June 2011

Majibu ya katibu wa Bunge kwa Mh Zitto Kabwe Kuhusu Posho Zake

Hii ni barua aliyojibiwa Mh Zitto Kabwe na katibu wa Bunge kufuatia ombi lake binafsi la kutaka posho zake za bunge zipelekwe kwenye mfuko wa maendeleo ya watu wa Kigoma kwa hisia zake ya kuwa wabunge hawastahili kulipwa posho za vikao vya bunge kwani anaona ni sehemu ya kazi ya mbunge.
 
Kwa maana nyingine wabunge ni waajiriwa wa ofisi ya Bunge, kwa mantiki hiyo, hawastahili kulipwa posho za vikao wanapokuwa katika kazi za kawaida Bungeni kama waajiriwa.

Nimeipata hapa  na pia unaweza kupata habari za Zito hapa kwenye wavuti yake