Member of EVRS

Tuesday, 31 May 2011

While FIFA is Melting....

My sports attire.
I am just busy, I don't mind about FIFA bluffs!

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mimi ndo sielewi kabisaaaaaaaaaaa!!

chib said...

Da Yasinta , katika michezo, mimi ni mpenzi sana wa soka, kwa hasira niliamua kutoa mavazi yangu ya michezio na kuingia uwanjani kupoteza muda wangu wa kukaa bure, lakini sikuvaa hayo malapa pse

Goodman Manyanya Phiri said...

Itakuwaje wayayuke ("MELT") sasa? Mbona nimesoma pahala leo eti hawakuona kosa lolote chini wa uongozi wake Sep Blatter?

James Leer said...

First time I read in swahili :)
great the mini-translator

greetz!

chib said...

You are most welcome James!!