Member of EVRS

Friday 13 May 2011

Ujumbe Katika Nguo

Bado natafakari ujumbe kwenye T-shirt ya huyu ndugu niliyemkuta kwenye kivuko akielekea Kigamboni hivi karibuni.

Nawatakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki.... Na kwa wale wapenzi wa mpira wa miguu, najua wengine mtatoka mmenuna kwa siku hizi mbili zijazo :-)

6 comments:

jaz@octoberfarm said...

hi chib! nice to see you are still around! joyce

EDNA said...

Hve a nice weekend kaka

Anya said...

Hi Chib
Sorry for our long absence
I needed a short break ;(

Happy weekend to you my friend
Hugs from us all
Kareltje,Betsie & Anya

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

umefufuk WEYE maana nilikuwa na uhakika ulitaka kujiua ili uliwe nyama sasa umeghairisha! hongera

Simon Kitururu said...

Mapumziko mema kwako pia MKUU!

Lakini ikibidi usipumzike kila kitu hasa kwa mfano tu kama mama watoto hataki mambo fulani ya KIUNYUMBA upumzike , basi usipumzike aisee wikiendi hii!:-(

chib said...

Thanks all!
@ Kamala, nilikuwa nipo Abottabad na kikosi maalumu cha kummaliza gaidi, ha ha haa