Member of EVRS

Thursday, 19 March 2009

Usafiri wa Bongo


Shida ya usafiri Dar ni kubwa sana hasa kwa wanafunzi. Pia ni ghali kwa watu wa kipato cha chini hasa wanapotaka kusafirisha mizigo yao kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Usafiri kama huu wa guta ni hatari ukizingatia guta hilo limebeba watu na mtungi wa gesi ukiwa umefungwa kwa kamba hafifu. Na iwapo itatokea ajali madhara yake yanaweza kuwa makubwa.

No comments: