Member of EVRS

Thursday, 13 January 2011

Which One is a Fake Product!!

Someone alerted me that one of these Santa Lucia spaghetti is a fake product!!

I am not sure which one, can you spot or suggest from this appearances.
Just look this below too......
NB. For below photos, On left is 450g and right is 500 gr which is opposite from the above photo

8 comments:

Malkiory Matiya said...

The one on the viewers left side in the above picture is fake and from the picture down, the one on the viewers right side is fake.

Jumaa said...

Mimi labda nipige testi ya mlo, may beeee, I may be able to say something!

Anya said...

????????????
I don't know !!!!

Maybe it will tast the same :P

gr. Anya

SIMON KITURURU said...

Nilifikiria mwanzo kama Mkuu Malkiory,...
.... halafu nikakubali alilo sema ANYA.

LAKINI:

Hivi chakula fake ni kipi?

Kuna aliyewahi niambia chakula chochote ukikutacho kwenye kopo au plastiki ni FAKE.

Ufake wenyewe hutegemea tu asilimia gani ya kudhurika mtu aliko tayari kihiari kuukubali.:-(

Candy1 said...

gosh I cnt even tell!!! but why does it have to be 450g??? while it can just be 500 all together?...mmh...then the 500g one the picture is not shining...the other one is shining...kaka chib, ninachojua ni kwamba kama sio hiyo ya kushoto basi ya kulia ndio fake...na kama sio ya kulia basi ya kushoto ndio fake..haha!

chib said...

Candy, ha ha haaa, yaani, chapa mswahili kabisa. Hakuna kushindwa.

It is likely the 500gr is undercover product.

Upepo Mwanana said...

Ni yenye mg 500

Anonymous said...

jamani kumbe na wenzangu mmegundua, yaani mimi ni mpenzi wa pasta, hususan Santa Lucia from Italy but siku hizi zimekuja feki, yaani hazina testi ya zile original, nimejaribu kuwaeleza wenye maduka kuhusu hilo nao hawaelewi yaani hayajui original na feki.
Ila mimi nazijua
hizi feki siki hizi zimewekwa expire date kwa kinembo nyeupe alafu ukiangalia mfuko wake una maandishi baadhi ya kiarabu vile.Ukizipika haziachani na hazijai yaani kuvimba kama zile original, pia zinakuwa nyeupe na sio brownish au chai ya maziwa fulani hivi,alafu kingine hata mfuko wake kwa nje kama wewe ni mtumiaji wa zile oroginal utaugundua tu cos hata maandishi yake na mfuko wenyewe hauko kama ule wa original.Kwa hizo picha hapo hiyo yenye kinembo cheupe cha kuonesha expire date ndiyo fake, mimi nazijua sana. yaani natamani ningejua wapi ninaweza lalamika, cos tunauziwa fake product hata juzi nilimwambia dada apike tambi nilipotest nikaona sio ikabidi nimwambie anipe mfuko wake nikagundua ni zile feki.
Kama mnajua wapi pa kulalamika naombeni mnijulishe wandugu.