Member of EVRS

Sunday, 30 September 2012

Adha na Raha ya Kazi ya Huduma kwa Jamii

Kazi zinahusiana na kutoa huduma kwa jamii zina raha zake na karaha zake.
Kazi hizi ni kama vile za siasa, sekta ya afya, polisi, huduma za hoteli na migahawa, benki na kadhalika.

Wakati wote unahitaji kuwa mchangamfu na unayejali.

Hata pale anapokuja mtumishi wako wa nyumbani, ule ukali wako wooote, unayeyuka anapokuja ofisini kwako kwa ajili ya kupata huduma.

Lakini sina hakika kama watu wote wanakuwa hivi....
Nilikuwa nawatakia wikend njema tu!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

NI KWELI INAHITAJI UVUMILIVU HASA NA UPENDO/HURUMA..WIKIENDE NJEMA AWE PIA...

emu-three said...

Kuhudumia jamii kuna mitihani yake, cha muhimu ni kujiuliza tu, hivi ninavyomtendea huyu mtu kama ningelitendewa mimi ningelifurahi, ...