Jana, Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu ya Tanzania, ililazimika kukana tuhuma zilizotolewa na mtandao wa WikiLeaks kuhusiana na taarifa iliyotolewa na aliyekuwa balozi wa Marekani nchini Tz Bwana Michael Retzer na baadaye kunaswa na mtandao huu wa wikileaks.
Inadaiwa ya kuwa wakati Mhesh Rais alipokuwa waziri wa mambo ya nchi za nje, aliwahi kupokea zawadi mbalimbali zikiwamo suti 4 na Chama chake kupewa dola za kimarekani milioni 1 ili kumsaidia katika kampeni za urais mwaka 2005. Na kama haitoshi, mtandao huo ulikuwa na habari zilizotumwa na aliyekuwa balozi huyo wa Marekani nchini Tz, ya kuwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tz alilipiwa nauli kwenda London kwa ajili ya kwenda kupewa zawadi mbali mbali na mmiliki wa hoteli za Kempinski akiwa na matumaini ya kupewa haki ya kujenga hoteli katika hifadhi za mbuga za wanyama za Ngorongoro na Serengeti.
Jambo ambalo mimi binafsi ninajiuliza, ni kwa nini hili limepingwa haraka sana na kwa hisia za hasira. Angalau Rais wetu ana jukwaa la kumsemea, je na wale ambao hawana jukwaa la kuwasemea inakuwaje?
Je, ni kweli hawa mabalozi huwa wanatuma taarifa za uzushi au ni kweli baadhi ya watu huwaambia taarifa nyeti, kama alivyofanya mkurugenzi wa Takukuru aliposema kuhusiana na wanaohusika na rushwa kubwa ambapo hata RA na EL walitajwa kuwa wamo!
Yote kwa yote, doa limeshapakwa, hata kama ni uwongo au ukweli, tayari Rais wetu na chama chake vimeaibishwa na kutiwa fedheha kubwa.
Pata taarifa ya kukana kutoka Kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu hapa
Showing posts with label WikiLeaks. Show all posts
Showing posts with label WikiLeaks. Show all posts
Tuesday, 6 September 2011
Monday, 20 December 2010
WikiLeaks Cable Hit Tanzania
Today I was reading Subi's Wavuti and came accross this astonishing news about radar scam!
Quoted ......The Tanzanian prosecutor, Edward Hoseah, investigating worldwide misconduct by BAE, Britain's biggest arms company, confided to US diplomats that "his life may be in danger"...
Hoseah met a US diplomat, Purnell Delly, in Dar es Salaam in July 2007, and claimed (unrealistically it turned out) he would be able to prosecute guilty individuals in the BAE case. The US cable reports: "He called the deal 'dirty' and said it involved officials from the Ministry of Defence and at least one or two senior level military officers."
Hoseah spoke gloomily about the prospects for Tanzania's anti-corruption struggle and his original hopes to prosecute the "big fish" of corruption.
"He told us point blank... that cases against the prime minister or the president were off the table ..." The cable then details allegations against former leaders and their inner circles, saying they would be "untouchable".................
Today, is the beginning of the case related to BAE fraud on radar scam. More terrible news are going to be revealed out ....
The Guardian (UK) has more astonishing news

Subscribe to:
Posts (Atom)