Member of EVRS

Showing posts with label Mukama katibu Mkuu Mpya wa CCM. Show all posts
Showing posts with label Mukama katibu Mkuu Mpya wa CCM. Show all posts

Monday, 11 April 2011

Mukama ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Mpya wa CCM

Hatimaye jina la mrithi wa Yusuph Makamba kama katibu mkuu wa CCM limetangazwa na mwenyekiti wa CCM, naye si mwingine bali ni Wilson Mukama (Pichani juu)
Jina lake limepitishwa na Kikao cha halmashauri kuu ya CCM huko Dodoma, na muda mfupi uliopita ndio jina hili likatangazwa rasmi.   
   
Naibu wake kwa upande wa Bara ni John Chiligati na kwa upande wa Visiwani ni Ali Vuai Ali.