Friday, 13 May 2011

Ujumbe Katika Nguo

Bado natafakari ujumbe kwenye T-shirt ya huyu ndugu niliyemkuta kwenye kivuko akielekea Kigamboni hivi karibuni.

Nawatakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki.... Na kwa wale wapenzi wa mpira wa miguu, najua wengine mtatoka mmenuna kwa siku hizi mbili zijazo :-)

6 comments:

  1. hi chib! nice to see you are still around! joyce

    ReplyDelete
  2. Hi Chib
    Sorry for our long absence
    I needed a short break ;(

    Happy weekend to you my friend
    Hugs from us all
    Kareltje,Betsie & Anya

    ReplyDelete
  3. umefufuk WEYE maana nilikuwa na uhakika ulitaka kujiua ili uliwe nyama sasa umeghairisha! hongera

    ReplyDelete
  4. Mapumziko mema kwako pia MKUU!

    Lakini ikibidi usipumzike kila kitu hasa kwa mfano tu kama mama watoto hataki mambo fulani ya KIUNYUMBA upumzike , basi usipumzike aisee wikiendi hii!:-(

    ReplyDelete
  5. Thanks all!
    @ Kamala, nilikuwa nipo Abottabad na kikosi maalumu cha kummaliza gaidi, ha ha haa

    ReplyDelete