imenikumbusha miaka ilee..nimefurahi picha zinaonyesha mji ni msafi na mandhari ni ya kuvutia haswa...mwanza ooh mwanza...maji bariidi na samaki watamu.
patamu sana hpo na ninapatamani ila usidanganyike kutembea kwa miguu maeneo hayo giza liingiapo, utapigwa nondo kichwani. ila patamu na wanaishi mabepari zaidi huko
A precious place!
ReplyDeleteSplendid!
ReplyDeleteDaktari; Lipi kati ya hayo mahekalu hayo milimani ni lako? Naweza kuja kukutembelea?
ReplyDeleteNilisoma High School Sengerema na hizo feli tulipanda sana...Miaka inatimka sijaona kwani inaonekana kama vile ilikuwa jana tu.Umenikumbusha mbali!
imenikumbusha miaka ilee..nimefurahi picha zinaonyesha mji ni msafi na mandhari ni ya kuvutia haswa...mwanza ooh mwanza...maji bariidi na samaki watamu.
ReplyDeleteGod bless me to step my feet and eyes in Mwanza!
ReplyDeletepatamu sana hpo na ninapatamani ila usidanganyike kutembea kwa miguu maeneo hayo giza liingiapo, utapigwa nondo kichwani. ila patamu na wanaishi mabepari zaidi huko
ReplyDelete@ Kamala, yawaje sehemu ya mabepari ndo kuwe na nondo aka vibaka!
ReplyDelete@ Masangu, majumba hayo nayamiliki kwa macho tu ila yana wenyewe