@ Kamala, una taaaabu weee, maana yako ni moja tu :-( Watu tunafikiria maendeleo na sio kitu unachodhani. Nakaa na familia yangu Rwanda kwa sasa
@ Anya... Thanks
@ Kitururu... Nina wiki hapa, bado nina kama siku 10 tena za kuwa Bongo, nitapaa WK ijayo kuelekea Mwanza na vijijini kabla ya kurudi Dar then Kigali wiki ileeee nyingine. Pasaka njema kwa wote
Dar es salaam. laiki ni sasa unamuijoy mai naniliiiieheheh, ndo maana unaenda huko. angalia usifanye kwa pupa wala vissasi mkuu
ReplyDeleteLooks great thanks for sharing
ReplyDelete:-)
Have a wonderful weekend
(@^.^@)
Uko muda gani bongo Mkuu?
ReplyDelete@ Kamala, una taaaabu weee, maana yako ni moja tu :-( Watu tunafikiria maendeleo na sio kitu unachodhani. Nakaa na familia yangu Rwanda kwa sasa
ReplyDelete@ Anya... Thanks
@ Kitururu... Nina wiki hapa, bado nina kama siku 10 tena za kuwa Bongo, nitapaa WK ijayo kuelekea Mwanza na vijijini kabla ya kurudi Dar then Kigali wiki ileeee nyingine.
Pasaka njema kwa wote
@Chib: Basi tukijitahidi nahisi tunaweza kukutana. Siko mbali!
ReplyDeleteHata mimi nitakuwa mwaza by 14th
ReplyDeletetwaweza vaana huko