Sunday, 4 April 2010

Happy Easter

I just wanted to wish you a happy Easter and receive all the blessings showered on this day.

Ingawa hapa Dar Kuna sehemu hakuna umeme tangu jana ikiwa ni sehemu ambayo nami nipo. Nimemkumbuka Kaka Fadhy alivyokuwa akilalamika kupitia mtandaoni. Nami nimeonja joto ya jiwe :-(

9 comments:

  1. pole sana, Pasaka njema/gllad påsk!!

    ReplyDelete
  2. Pasaka njema bloggers wote

    ReplyDelete
  3. Poleni sana na mgao. Pasaka njema.....

    ReplyDelete
  4. welcome to tanzania. na hilo joto tena. dar haikustahili kuwa mahali pa kuishi watu. ni bahati mbaya tu. kungestahili kuishi watu iwapo watu hao wangeweza kupafanya pahala pa kuishi. natamani niweke ngome masaki, nguruwe kariakoo, kuku mlimani city.

    ReplyDelete
  5. hongera. sijui mnalalaje ucku, inabidi utoe talaka kwa muda ishu ni hisia zikipanda, lazima igwaride, baada ya hapo ni majuto, utadhani kitanda kimemwagiwa nini sijui

    ila nashangaa hata bukoba siku hizi hakuna umemem wa uhakika, unakatika latika hovyo kama mwanamke wa ki-Tanga

    ReplyDelete
  6. Shukran na kwako pia pamoja na familia kwa ujumla

    ReplyDelete
  7. Nawe pia. Tuletee habari na picha nyingine bwana, kama ya hao kuku wanaosafiri!

    ReplyDelete