Sunday, 7 February 2010

Sunday's Message


I wish you a lovely Sunday. That is all...
Wengine tuna ugonjwa wa kukaa karibu na maji, kama serikali ingekuwa inagawa maeneo ya maji ili watu wayaendeleze, kuogelea nk, mie ningekuwa wa mwanzo kuomba low density...... asili haipotei.

4 comments:

  1. Mkuu nawe pia uwe na Jumapili mwanana na wakti mzuri daima.

    ReplyDelete
  2. Jumapili Kibonge kwako pia Mkuu!

    ReplyDelete
  3. Jumapili/dominika njema kwako pia. Kumbe tupo wengi tulio kama samaki.

    ReplyDelete
  4. Wishing you a wonderful Sunday as well!

    (((HUGS)))

    ReplyDelete