![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYIc8CSj30BPfsOs8UZCHzryapq9lsoqEIRzLSculmXUHZy7foFuEg-zmZOAxzooqxLnUZMjuy1aw-FFNKMEz12d4QL1r3PhM85gNYJJpMXELttjM3N95wef7i54wAgsJGGi0_KXuJM4g/s280/image001.jpg)
This is one of the product of great thinkers!
Least cost, but yet effective and funny.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3vDgI79xQnEdJRb79blene8mAUthyphenhyphen5kLINa88ROfSWQP2-WxxAm74g_NTNAqsXBfMHC0obg2qxUFqX2wXXdafZc062KYfE2kaLdfWGhBLpR-rSzMdAT_rIKbDbrAVJ_jzFAXjTH6hxpQ/s280/image003.jpg)
The whole body is biodegradable!
Moderenisation has not been left behind
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0DPefEJDeEOuRqG48HNlT3fhDGUMW-aP4st8peH4GoEszbXPeCpiOD-aNaJzX0bg3dLT0er4ChSfnmoC-tjcWHp53sxK_TPemT9TGbOo4F9d0Jwr-qa8-mV0h71coClg-PMiOp1AaPa0/s280/image005.jpg)
Mtazamo kwa nyuma!
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhblaTx8QwJd04lycVbYHpTZVFNMWbxrJVn4P17pDcn4dsAWA-NlH3PQUBfIJy8y4FEwNCPwhXqEl62rC1nk_13J3oP_zFcfXnRv1iO61IzVjZitN5113lfZtwyHVxGvJw7wyg897jfTbk/s280/image002.jpg)
Inside View
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgo_yexCt3SgdSTRl9I0ZBZbF2BTWJb55LsCNE4NEA4nrV9qV9bgLkJj8k3cfeboPQAnV_X0D7dn2MBdzO65BiTwydcZ8yx-n-S_mubBP1Lw4hrxtuKmr4Tv-M8G307g-vcpdcmqg7eDTE/s280/image006.jpg)
Mambo ya ubunifu hayo, nafikiri unaweza kukisia gari hii imetengenezwa wapi...
Thanks Mhesh. kwa kunitumia picha hizi.
I want it!!!!! zuri kweli yaani duh!!
ReplyDeleteNa wasiwasi tu na UIMARA WAKE kiusalama baada ya kufikiria , - ni nini kitatokea ukigongana na hata mkokoteni wakati unaendesha gari hili? Na kama mvuta sigara hukawii kujiunguzia gari kinamna.
ReplyDeleteSorry kwa mtazamo negative!:-(
Inafurahisha na huo ubunifu.
ReplyDeleteKitururu usihofu sigara, maana hata mafuta ya taa yanachoma nyumba lakini tunayatumia ndani ya nyumba
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteharafu gari kma hili inaidi uweke na godoro uishi humo humo\
ReplyDeleteCHIB unakumbuka siku ile mnaelekea bagamoyo??? sasa wataingia nyoka wangapi humo???
kyoyozi je?
LOVE that car :))))))))
ReplyDeleteFUNNY design :-)
Have a wonderful weekend
(@^.^@)
@ Candy, Anony and Anya, thanks if you love this car as I did!!
ReplyDelete@ Kitururu, si unajua tena, kila inachotengenezwa kina uzuri na ubaya wake, anony kamalizia usemi wangu
@Kamala: Usinikumbushe kale kanyoka. Yaani kama nikilipata gari hilo, litakuwa la kuendeshwa sebuleni na kwenda chumbani :-)
Amani mkuu.
ReplyDeleteNimepita kukujulia hali na kuacha baraka za Mfalme Haile Selassi I.