Wednesday, 30 September 2009

Dar!


Kwa wale wanaoifahamu Dar vizuri, hakika wanaitambua

sehemu hii. Unataka kupata jack pot? Jaribu kunena.

4 comments:

  1. St. Peters kwenda shule ya Mbuyuni...kuna zawadi kwenye hii jackpot au?...lol...

    ReplyDelete
  2. yep hapa ndno pale pale kwa kanisa la wakatoliki, ada estate fulani hivi na kulia kama unatoka posta basi waelekea Masaki.

    unajua hivyo vigari ndo vimenionyesha hapa.

    harafu taa karibia zote za barabarani zimewekwa mpya isipokuwa hizi za hapa na ubungo. so ni rahisi kujua na picha hii sijui kama sio ya zamani

    ReplyDelete
  3. Naam, ndipo hapo kabisa, na picha hii nimeipiga ijumaa iliyopita.
    Zawadi ipo, lakini kwa sababu wote mmepatia, bado nafikiria nitaigawaje, maana haigawanyiki!!

    ReplyDelete
  4. Hahahahahhahahhaha kaka chib bwana...haya mi sisemi lol

    ReplyDelete