Hadubini - My-o-scope
Friday, 28 January 2011
Tanzania: Matokeo Kidato cha Nne 2010 ni Aibu Tupu!
›
Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2010 kusema ukweli ni ya aibu tupu! Kiwango cha kufaulu na kufeli vimekaribia kulingana, kwani si kitu cha ...
9 comments:
Wednesday, 26 January 2011
Wimbi la Kuondoa Marais Waliokaa Muda Mrefu Afrika
›
Kumekuwa na wimbi jipya la kung'oa utawala wa kiarabu uliodumu kwa muda mrefu. Lilianzia Tunisia, na tukashuhudia rais wa nchi hiy...
2 comments:
Monday, 24 January 2011
Kila Mtu na Kazi Yake
›
Hakuna kuchekana jamani. Pale unapoona ya kuwa kazi yako ni hovyo na ya kuchosha sana.... Labda inawezakuwa sio kweli. Unaweza kuwa k...
10 comments:
Friday, 21 January 2011
Weekend wishes To You!
›
I just wanna say... Have a lovely weekend. Huku nikiwa nasubiri kwa hamu kubwa mazao yangu yakomae hapa kibandani kwangu ili nipate...
6 comments:
Tuesday, 18 January 2011
Tanzania Yageuka Shamba la Bibi
›
Sina mengi ya kusema... Lakini bado nipo kwenye mshangao kwa jinsi ninavyo ona Tanzania inavyochumwa na kila mtu mwenye nafasi yake tena kuc...
3 comments:
Monday, 17 January 2011
Twin Baby Boys Laughing at Each Other
›
Did you had a lovely weekend? If not, then Have a blessed and laughing monday!!
5 comments:
Thursday, 13 January 2011
Which One is a Fake Product!!
›
Someone alerted me that one of these Santa Lucia spaghetti is a fake product!! I am not sure which one, can you spot or suggest from this ...
8 comments:
Tuesday, 11 January 2011
Kuuliza sio Werevu!
›
Nahisi nilikuwa nimepotea au..... Happy New Yeaaaaaaaar 2011, sasa sijui ni kufurahi au kuandika maumivu!! Baada ya kupigwa na barid...
7 comments:
‹
›
Home
View web version