Tuesday, 11 January 2011

Kuuliza sio Werevu!

Nahisi nilikuwa nimepotea au.....  
Happy New Yeaaaaaaaar 2011, sasa sijui ni kufurahi au kuandika maumivu!!
  
Baada ya kupigwa na baridi sana....then jooooto....Nina swali la kizushi.....
Hivi Uchumi wa Tanzania unaposemwa kwamba unakuwa ..... yaani wana maana gani, yaani kwenda kwenye hasi au chanya? 
 
Au ni kimtizamo tu kwa upande mmoja wa sarafu?

7 comments:

  1. Hi nice to see you :-)

    Looks very modern there
    where you are sitiing.... Wow!!

    Greetings Anya

    ReplyDelete
  2. uchumi umekuwa mifukoni/kwenye akaunti za hao wanaosema umekua

    ReplyDelete
  3. kwni we unasemaje?? uchumi wako wa kushidwa kuwa bloguni umekua

    ReplyDelete
  4. Kwa sababu tulikwishaambiwa ndege yetu ya uchumi inapaa...nadhani kwa sasa inatua!

    ReplyDelete
  5. Angalia maendeleo yako, je umafanya nini cha zaidi, kuna kubwa la menedleoo umefanya, ukianza kuiuliza mwenyewe unaweza ukapata jibu la harakaharaka...

    ReplyDelete
  6. Ni kimtizamo tu kwa upande mmoja wa sarafu ukiniuliza mie.

    ReplyDelete